Tuesday, October 13

BALOZI JUMA MWAPACHU ATANGAZA KUIHAMA CCM



Kuna stori ambayo imesambaa tayari kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja wa Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama chama hicho…


Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha Balozi Juma Mwapachu kutangaza kujiondoa CCM >>> 

gazeti hilo limeandika hivi; nanukuu “MWAPACHU ATOKA CCM: Kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, adai chama kimepoteza dira, hajaamua kujiunga chama kingine“>>> 



 
Kwenye ukurasa wa Twitter wa Kituo cha Television cha ITV nako imeripotiwa taarifa hiyo >>> “ Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kuanzia kesho hatokuwa mwanachama wa CCM na atarejesha kadi ofisi ya CCM kata ya Mikocheni DSM” >>>

 

No comments: