Saturday, July 18
Friday, July 17
AJALI YA KILIMANJARO ILIKUWA HIVI,TAZAMA KATIKA PICHA JINSI WATU WANNE WALIVYOPOTEZA MAISHA
Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye
Raia mmoja wa Australia ambaye
alipanga ndoa ya kiislamu li kumuoza bintiye mdogo mwenye umri wa miaka
12 amehukumiwa miaka minane jela.
Alipatikana na hatia mwezi Aprili kwa kumnadi mtoto kuhusika katika vitendo vya ngono kinyume na sheria.
Mapema mwaka huu mume huyo alihukumiwa kifungo cha miaka saba na nusu kwa kumnyanyasa kijinsia mtoto huyo.
Msichana huyo mdogo analindwa na serikali.
Thursday, July 16
MTANZANIA WA KWANZA KUPANDA MLIMA EVEREST
MTANZANIA
KWENYE KILELE CHA EVEREST
Ni Wilfred Moshi.
Amekuwa Mtanzania wa kwanza kufika kilele cha mlima mrefu kuliko yote duniani.
Steinmeier ziarani Cuba
Waziri wa Mambo ya Nje ya Ujerumani Frank-Walter Steinmeier leo hii anatarajiwa kuanza ziara yake ya siku mbili nchini Cuba.
Steinmeir atakuwa waziri wa kwanza wa mambo ya nje wa Ujerumani kufanya
ziara nchini humo tangu kuungana tena kwa Ujerumani miaka 25 iliyopita
Sudi Mnette anaarifu zaidi.
Wednesday, July 15
SANCHES KUWAKOSA CHELSEA NGAO YA JAMII.
Alexis Sanchez anaweza kukosa mechi ya kwanza ya msimu katika kikosi cha Arsenal.
Monday, July 13
TAARIFA ZA KUSIKITISHA KITUO CHA POLISI STAKISHARI KIMEVAMIWA NA MAJAMBAZI NA KUUA POLISI NAKUPORA BUNDUKI AINA YA SMS USIKU WA KUAMKIA LEO.
WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, JIJINI DAR ES SALAAM
ROONEY, BALE?,ANGALIA ORODHA YA WACHEZAJI WA KIINGEREZA WALIOWAHI KUSAJILIWA KWA GHARAMA KUBWA ZAIDI
Ofa
iliyokubaliwa ya Manchester City kumsajili kiungo Raheem Sterling
kutoka klabu ya Liverpool imeweka rekodi mpya katika orodha ya wachezaji
ghali zaidi wenye asili ya taifa la Uingereza.
AUSILIO AKANUSHA TAARIFA ZA INTER KUMWANIA IBRAHIMOVIC
Mkurugenzi
wa michezo wa Inter Milan Piero Ausilio, amethibitisha klabu yake kuwa
na mpngo wa kuwasajili Mohamed Salah, Stevan Jovetic na Ivan Perisic -
huku akikanusha taarifa zinazowahusisha kumuwania mchezaji wao zamani
Zlatan Ibrahimovic na kusema kuwa kwa sasa mchezaji huyo haendani na
mipango ya klabu yao.
MAMA WA CASILLAS AAMUA YAISHE NA PORTO
Mama wa Iker Casillas ameamua kuomba radhi kwa kauli yake ya kwamba mwanaye anapaswa kuchezea timu bora zaidi ya Porto.
Afisa usafirishaji ajitosa kuwani Udiwani kata ya Luhota jimbo la Kalenga
KATIBU wa
uchumi na fedha wa chama cha usafirishaji Mkoani Iringa, Obedi Luhwago
ameamua kujitisa kuwania udiwani katika kata ya Luhota, jimbo la Kalenga
wilayani Iringa kwa tiketi ya Chama Cha Mapnduzi (CCM).
KENYA ,SOMALIA KWAFUKUTA UPYA,KESI YA MIPAKA KUFUNGULIWA NA SOMALIA
Serikali ya Somalia leo hii
itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa (ICJ)
kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.
I.R.P MZEE OJWANG
Muigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha "Vitimbi"
Benson Wanjau aka "Mzee Ojwang"
ameaga dunia.
Mzee Ojwang ameaga dunia muda mchache uliopita katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta mjini Nairobi Kenya.
Benson Wanjau aka "Mzee Ojwang"
ameaga dunia.
Mzee Ojwang ameaga dunia muda mchache uliopita katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta mjini Nairobi Kenya.
STERLING RASMI NI MANCHESTER CITY
Sunday, July 12
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, mara baada ya
kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma
Convition Centre, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka kidedea
kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina Salum Ally, akiibuka
na kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro, akipata kura 59.
Subscribe to:
Posts (Atom)