Saturday, January 30

WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA CHICO INAYOJENGA BARABARA YA MAYAMAYA KONDOA WAGOMA KUFANYAKAZI WAKAIDAI MIKATABA

Baadhi ya wafanyakazi hao wakiwa wamelala kwa uchovu kutokana na kusubili majibu kwa muda mrefu
Meneja wa TANROAD Mkoa wa Dodoma Leonard Chimagu akizungumza jambo mbele ya wafanyakazi wa kampuni ya CHIKO waliokuwa wamegoma kufanya kazi ya ujenzi wa Barabara kutokana na madai ya kupatiwa mikataba na kulipwa malimbikizo yao
Afsa kazi Mkoa wa Dodoma Jacob Mwinula akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na wafanyakazi zaidi ya 400 wa kampuni ya CHICO waliokuwa wamegoma kufanya kazi zaidi ya siku nne wakishnikiza kupewa mikataba IMEANDALIWA NA BANDA BLOG

Mmoja wa wawakilishi wa wafanyakazi hao akizungumza jambo
Wakati mgomo huo ukiendelea Ulinzi mkali wa Polisi uliimalishwa

Sehemu ya Kalakana ya kampuni ya CHICO iliyopo wilayani Chemba
Wafanyakazi hao wakipata chakula


Katika kati mwenye tshet ya mistari waliosimama ni Mhandisi mkazi Raia wa China akiwa na Baadhi ya viongozi wa serikali walipofika kusikiliza malalamiko ya wafanyakazi hao