Saturday, November 21
KUMBE INAWEZEKANA.....Mwanafunzi wa kwanza asiyeona au kusikia.....
Haben Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi. Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka yake ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni mwanasheria anayejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknoljia kwa watu wasioweza kuona au kusikia.
Friday, November 20
Akon+Mshindi wa Airtel Trace...Mayunga Kawasili Universal Studios Marekani tayari kurekodi wimbo na Akon...
Mayungaa Narimi ambaye ni mshindi wa shindano kubwa la vipaji la Airtel Trace Music Staramefika kwa mara ya kwanza kwenye Ofici za lebel kubwa ya muziki ya Universal Studios mjini HollyWood nchini Marekani.
Hizi ni baadhi ya picha alizotuonyesha Mayunga na ujumbe huu
“There we are
Je Unataka Kujua?!!>>>Kuna chochote kati ya Future na Blac Chyna? Majibu yote yapo kwenye ‘Rich $ex’ – (Video)!....
Ni FurahiDay na rapper kutoka Freebandz, Future anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani kwa kuisogeza single nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya Dirty Sprite 2 (DS2).
Wimbo unaitwa ”Rich $ex” na video yake ipo hewani tayari lakini video queen kwenye hii ngoma mpya ni model na dancer, Blac Chyna
staa ambaye wiki chache zilizopita aliweka headlines nyingi kwenye
social media baada ya kuchora tattoo ya jina la rapper huyo mkonini
mwake… ikasemekana ni wapenzi lakini Future akakanusha taarifa hizo!
Je ni kweli kuwa Future na Blac Chyna sio wapenzi? majibu yote yanaweza kupatikana kwenye video hiyo...
Subscribe to:
Posts (Atom)