Taarifa ambazo zimethibitishwa kupitia mtandao wa twitter wa CCM na
mwenyekiti wa chama hicho Rais Jakaya Kikwete zinasema kuwa, Kamati Kuu
ya CCM imekamilisha kazi na kuwapitisha wagombea watano.
Wagombea waliopitishwa ni Bernard Membe, January Makamba, Dkt Asha Rose Migiro, Dkt John Magufuli na Balozi Amina Salum.
Wagombea waliopitishwa ni Bernard Membe, January Makamba, Dkt Asha Rose Migiro, Dkt John Magufuli na Balozi Amina Salum.