Waandishi
wa Habari wakiwahi kuingia ukumbini kabla ya kuanza kwa kikao cha
Kamati Kuu Maalum cha CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu maarufu kama
White House.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Martine Shigela muda
mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum mjini Dodoma.
Hivi
ndivyo nje ya jengo la CCM Makao Makuu ,Wajasiriamali kwa wingi wao
wamekuwa wakifanya bishara za bidhaa zao kwa wana CCM waliokuja
kuhudhuria Mkutano Mkuu mjini Dodoma.
Magari yaliobeba wajumbe yakiingia Dodoma
Usalama ukiwa umeimarishwa kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment