Thursday, March 3

HAYA NDIO MAJIBU YA BELLE 9 KWA DIAMOND NA WATANZANIA BAADA YA MATUSI MTANDAONI

 
Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz

Wednesday, March 2

WAGOMBEA MAREKANI.....

Clinton
Clinton ameshinda majimbo matano
Mgombea wa Democratic Hillary Clinton na mgombea wa Republican Donald Trump wamechukua uongozi wa mapema katika mchujo wa kuteua wagombea urais Marekani katika vyama vyao.

Wahukumiwa miaka 120 na kulipa fidia ya Bilioni 1.4

 

6a00d83455b3db69e201347fedbbb7970c
Mahakama ya hakimu mkazi Singida imewahukumu washitakiwa sita adhabu ya kutumikia jela jumla ya miaka 120 na kulipa faini ya jumla ya zaidi ya shilingi Bilioni 1.4, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumiliki kinyume na sheria vipande 53 vya tembo vyenye thamani ya shilingi 149,336,000 na kosa la jingine la uwindaji.

SASA MAFUTA CHINI......EWURA YATANGAZA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA NCHINI......

 


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu bei kikomo za mafuta aina ya petroli kuanzia leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Umeme, Mhandisi Anastas Mbawala.

SOMA HAPA MANENO YA WAZAZI KUHUSU CHUO CHA ST JOSEPH......


 
BAADHI   ya wazazi wa wanafaunziwaliokuwa wakisoma Chuo Kikuu cha St Joseph katika  matawi ya Arusha na Songea wametupa lawama kwa Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) kwa hatua yake ya kufuta vibali vya kuanzisha matawi hayo na kwamba hali hiyo imewathiri watoto wao.

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO MARCH 2/2016


March 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea

Tuesday, March 1

DUDUBAYA AWAITA KENGE AWA JAMAA......


dudu-baya
Dudubaya amewajia juu baadhi ya majirani zake na Watu wengine waliosema amefulia na amekuwa akishinda maskani muda wote kuvuta bangi.

MARCH 1 KATIKA MAGAZETI YA KIBONGO


March 1 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania .