Thursday, March 3

HAYA NDIO MAJIBU YA BELLE 9 KWA DIAMOND NA WATANZANIA BAADA YA MATUSI MTANDAONI

 
Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz


ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>

Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>>


  #Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email tunamuomba msaada wake…..asante sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha account yangu #Mungu akubariki #polesana kwa niliowakwaza

No comments: