Teknolojia ya sasa inazidi kukua siku hadi siku, wataalamu wamekuwa
wakibuni vitu mbalimbali duniani kwa lengo la kuleta ushindani.
Katika piti pita zangu nimekutana na hizi hoteli ambazo zimeingia kwenye maajabu ya duniani kutokana na ubunifu wake…

1 – Montaña Mágica Lodge (Magic Mountain Lodge) – Chile

2 – The Dog Bark Park Inn – USA

3– Can Sleep Hotel – Denmark

4 – The Bird’s Nest – TreeHotel – Sweden

5. Gagudju Crocodile Holiday Inn –Australia

6 -The Mirrorcube – TreeHotel – Sweden

7. Das Park Hotel – Austria

8– Glass Igloos – Kakslauttanen Hotel and Igloo Village – Finland

9- V-House Jungle Hotel – Mexico

10- Zhangzhou Wei Qun Lou Inn – China

11. Mira Mira Fantasy Accommodation – Australia

12. Hang Nga Guesthouse and Art Gallery – Vietnam

13- La Balade des Gnomes Hotel – Belgium

14- Elephant Villa – Kumbuk River Resort – Sri Lanka

15- Costa Verde Hotel – Costa Rica
Je! wewe umevutiwa na mjengo upi kati ya hiyo?
No comments:
Post a Comment