Saturday, September 19

MANENO ALIYOYAANDIKA ANNIE MKE WA 2 FACE KWENYE CAKE KATIKA BIRTHDAY YA MUMEWE NDIYO YALIYOKUWA KIVUTIO KIKUBWA.........



Huenda katika Sherehe ambazo staa wa Nigeria 2 Face Idibia amewahi kuzifanya hii ambayo ilifanyika jana September 18 2015 ilikuwa imekaa poa zaidi !!


Moja ya vitu vilivyovutia ni cake ambayo mkewe, Annie aliiandaa.

2 Face na Annie walifunga Ndoa mwaka 2013, japo kuna wakati 2 Face aliwahi kusema kwamba hatamani kuoa kwa vile hakujiona kama anaweza kuwa ‘mume wa mtu’, lakini toka wamefunga Ndoa maisha yao yameenda poa kabisa mpaka leo.

Work-pics1024

Annie Idibia aliandika post hii kwenye ukurasa  wake @Instagram kumtakia birthday njema mpenzi wake na kuonesha pia jinsi ambavyo ana love ya nguvu kwa mtu wake>>> Happy birthday to the best MAN I know… I love u today n always … @2faceidibia1 God bless u my darling .. Eternally Yours…

No comments: