Saturday, September 19

MPYA KUMHUSU LUKE SHAW

2C78A77900000578-0-image-a-2_1442589564680

Mchezaji wa Machester united Luke Shaw alipata injury kwenye mechi UEFA dhidi ya PSV na kukimbizwa hospitali ya karibu na uwanja uliokua unafanyika mechi ile. Baada ya kupata matibabu kwenye hospital ya St Anna huko Eindhoven, Luke Shaw anategemea kurudi Manchester kwa ajili ya kuendelea na matibabu zaidi.


Hapo mwanzo ilitoka taarifa kwamba kuna uwezekano akabaki hukohuko na kuendelea na matibabu lakini hivi sasa imetoka taarifa kwamba anarudi Manchester. Luke Shaw ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashukuru wafanya kazi wa hospitali hiyo ambao walikua wanampa huduma tangu siku alipoletwa hapo.

2C7E667F00000578-3240933-Luke_Shaw_posted_these_pictures_with_medical_staff_at_the_St_Ann-a-88_1442650781079

No comments: