Wednesday, November 18

Rapa Mkali Toka Kitambo..Snoop Dogg aponda vikali orodha ya Billboard ya rappers wakali wa muda wote....

Snoop-Dog-Main
Rapa mkongwe duniani Snoop Dog ameponda vikali orodha ya rapa wakali zaidi wa muda wote iliyotolewa na tovuti ya Billboard wiki iliyopita.
Majina kwenye orodha hii yalikuwa pamoja na Biggie, Jay Z, Eminem, Rakim, Nas, Andre 3000, Lauryn Hill, Ghostface Killah, Kendrick Lamar na Lil Wayne.
Snoop Dogg amekasirishwa kuwa Tupac hakutajwa kwenye orodha hii. Haya ndio maneno yake kwenye instagram >>This is so disrespectful. !!Whoever did this list need a swift kick in the Ass. No. Tupac. Come on cuz ?. Jus my opinion.
billboard

No comments: