| Baadhi ya wafanyakazi hao wakiwa wamelala kwa uchovu kutokana na kusubili majibu kwa muda mrefu |
| Mmoja wa wawakilishi wa wafanyakazi hao akizungumza jambo |
| Wakati mgomo huo ukiendelea Ulinzi mkali wa Polisi uliimalishwa |
| Sehemu ya Kalakana ya kampuni ya CHICO iliyopo wilayani Chemba |
| Wafanyakazi hao wakipata chakula |
| Katika kati mwenye tshet ya mistari waliosimama ni Mhandisi mkazi Raia wa China akiwa na Baadhi ya viongozi wa serikali walipofika kusikiliza malalamiko ya wafanyakazi hao |
No comments:
Post a Comment