Friday, July 17

SINA UHAKIKA KAMA HUYU ANAWEZA KURITHI VIATU VYA IKER CASILLAS

Real Madrid wamethibitisha kumsajili Golikipa wa Espanyol,  Kiko Casilla.
Casilla, ambaye alicheza soka la utotoni katika klabu hiyo ya Real anarejea Bernabeu kwa dau la Euro milioni 6 baada ya kukaa miaka nane tangu aondoke Los Blancos kujiunga na Espanyol.
Kipa huyo mwenye miaka 28 anajiandaa kusaini mkataba wa miaka mitano.

No comments: