Wananchi waliojitokeza katika
tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Msagasumu akimwaga sumu
kwa wakazi wa Mbagala na Vitongoji vyake waliojitokeza katika tamasha la
‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye
viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki
wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa
Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Shangwe kila kona….
Wasanii wa Bongo Movie nao waliunga mkono harakati za Mabadiliko…
Mhe. Joseph Mbilinyi akiwa na Msanii wa Bongo Moive, Anti Ezekiel.
Wazee wa Isanga Family kutoka
Mbeya nao hawakuwa nyuma kutoa ujumbe wao katika tamasha la ‘Democracy
in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya
Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa
kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,
Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii AT kutokea Zanzibar
akimwaga burudani katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika
jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa
na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza
kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba
25, 2015.
Msanii wa Muziki wa Kizazi
kipya, Joseph Haule “Professa J” (kulia) akiteta jambo na wasanii
wenzake Kala Jeremiah (kushoto) na Ney wa Mitego (Kati) katika tamasha
la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye
viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki
wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa
Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Show love ya wasanii…
Msanii wa Muziki wa Kizazi
kipya, Kala Jeremiah akiwapa wananchi ujumbe katika tamasha la
‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye
viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki
wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa
Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Ney wa Mitego akitoa
burudani katika tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti
16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Roma Mkatoriki akitoa burudani…
Msanii wa Bongo Movie Shamsa Ford nae alikuwepo kusapoti mabadiliko na kuwasisitiza wananchi wajitokeze kupiga kura.
Msanii wa Kizazi kipya, ambaye
ni Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akitoa burudani
tamasha la ‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015
Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la
kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura
kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii Profesa Jay, ambaye ni
mtia nia wa Ubunge kwa jimbo la Mikumi akiburudisha katika tamasha la
‘Democracy in Dar’ lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye
viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki
wa muziki wa kizazi kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa
Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Msanii wa Kizazi kipya, Juma
Nature mtoto wa Mbagala akitoa burudani tamasha la ‘Democracy in Dar’
lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem,
Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa kizazi
kipya kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na
madiwani wa Oktoba 25, 2015.
Wasanii
Nguri wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule a.k.a Profesa Jay na
Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu wakishow love mara baada ya kumaliza kuwapa
elimu na burudani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake.
No comments:
Post a Comment