Monday, April 4

DKT. KIGWANGALLA AFUNGUA OFISI MPYA ZA SHIRIKA LA T-MARC TANZANIA.

1T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla Charles Singili Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la T. Marc Tanzania pamoja na Diana Kisaka Mkurugenzi wa Shirika la T.Marc Tanzania wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa ofisi za shirika hilo zilizoko Kunduchi jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki , Shirika hilo linajihusisha na shughuli mbalimbali ikiwemo utoaji wa elimu katika masuala ya ukimwi, Malaria na Elimu ya Uzazi.

2T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitembelea mabanda yaliyokuwa yakionyesha vitu mbalimbali pamoja na vijarida vinavyota elimu katika masuala mbalimbali kama vile Ukimwi na Malaria.
3T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mkurugenzi wa kampuni ya Montage Bi Teddy Mapunda wakati alipowasili katika ofisi hizo tayari kwa uzinduzi kutoka kulia ni Diana Kisaka Mkurugenzi wa shirika la T-Marc Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili.
4T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili alipowasili katika uzinduzi huo.
5T
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
6T7T
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
8T
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
9T
Kikundi cha ngoma cha Msanii Wanne Star kikitumbuiza katika uzinduzi huo.
11T
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi huo kufanyika kutoka kushoto ni Doris Chalambo Meneja wa Mipango na Diana Kisaka Mkurugenzi wa T- Marc Tanzania.
12T
Diana Kisaka Mkurugenzi wa T- Marc Tanzania akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Mjumbe wa bodi ya T-Marc Tanzania Mwanasheria Alex Mgongolwa na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili.
13T
Doris Chalambo Meneja wa Mipango wa T-Marc akifafanua jambo wakati akizungumza nawaandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo  katika picha kutoka kulia ni Mjumbe wa bodi ya T-Marc Tanzania Mwanasheria Alex Mgongolwa, Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Tanzania Bw. Charles Singili na Diana Kisaka Mkurugenzi wa T- Marc Tanzania.
14T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya shirika la T-Marc Tanzania.
15T
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi Bw. Charles Singili Mkurugenzi wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka na Mwanasheria Alex Mgongolwa  na baadhi ya wafanyakazi wa shirika  la T-Marc Tanzania.

No comments: