Saturday, November 26

FIDEL CASTRO ALIYEKUWA RAIS WA CUBA HATUNAE TENA...R.I.P



Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza.


Amefariki usiku wa saa nne na dakika 22, kwa mujibu wa Rais Raul Castro.

Fidel Castro aliiongoza Cuba kama nchi ya chama kimoja kwa takriban miaka 50 kabla ya Raul kushika madaraka mwaka 2008.

Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwa mwili wake kuchomwa moto. Kutakuwepo na siku kadhaa za maombolezo ya nchi nzima. 

kwa taarifa nyinginezo za habari, michezo makala na burudani mbalimbali tembelea link hii hapa chini

                                     http://kazenzele1.blogspot.com/

No comments: