Thursday, December 17

Dhamana Yatolewa Kwa Vigogo TRA.....

Hatimaye vigogo watatu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) akiwemo kamishna wa forodha na ushuru wa mamlaka hiyo, Tiagi Masamaki wameachiwa dhamana na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, baada ya kutimiza masharti ya dhamana yaliyotolewa mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

No comments: