Sunday, November 22

Soma Vichwa Vya Habari... Toka Magazetini Tanzania November 22 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma.....

Leo November 22 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea Mtanzania.....
DSC02594 DSC02595 DSC02596 DSC02597 DSC02598 DSC02599 DSC02600 DSC02601 DSC02602 DSC02603 DSC02604 DSC02605 DSC02606 DSC02607 DSC02608 DSC02609 DSC02610 DSC02611 DSC02612 DSC02613 DSC02614 DSC02615 DSC02616 DSC02617 DSC02618 DSC02620 DSC02621 DSC02622 DSC02623 DSC02625 DSC02626 DSC02627 DSC02628 DSC02629 DSC02630 DSC02631 DSC02632

UFISADI UPO KILA NCHI.....Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu........



Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
Bi Anne Waiguru, ambaye amekuwa Waziri wa Mipango na Ugatuzi, amewaambia wanahabari Nairobi kwamba ameshauriwa na daktari wake “achukue muda kupumzika”.
Amewaambia wanahabari kwamba amemwandikia Rais Kenyatta akimtaka amuondolee majukumu yake.
Wakenya wapigania waziri kwenye Twitter
Hata hivyo amesisitiza kwamba hana hatia.
“Ninafuata ushauri wa daktari na nimemuomba Rais aniondolee majukumu yangu kama waziri ... na akiona inafaa, anipe majukumu ambayo si mazito,” Bi Waiguru amesema.

Saturday, November 21

KUMBE INAWEZEKANA.....Mwanafunzi wa kwanza asiyeona au kusikia.....



Haben Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi. Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka yake ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni mwanasheria anayejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknoljia kwa watu wasioweza kuona au kusikia.

Friday, November 20

Akon+Mshindi wa Airtel Trace...Mayunga Kawasili Universal Studios Marekani tayari kurekodi wimbo na Akon...


Mayungaa Narimi ambaye ni mshindi wa shindano kubwa la vipaji la Airtel Trace Music Staramefika kwa mara ya kwanza kwenye Ofici za lebel kubwa ya muziki ya Universal Studios mjini HollyWood nchini Marekani.
Hizi ni baadhi ya picha alizotuonyesha Mayunga na ujumbe huu
There we are 😉💃💃💃💃 for the first time in UNIVERSAL STUDIOS. …. HOLLYWOOD oow 🙏 thank you ALLAH,thanks @Airtel Trace music star, thanks beautiful people……( you know what! Dont let anyone stop yo dreams because i had a dream that one day i would love to be in UNIVERSAL STUDIOS. ..HOLLYWOOD oow can’t even explain it more because it’s more than happiness , what i can say is just join me on this trip so that we can share somethings i love u guys☺. (Kwa mara ya kwanza ndani ya UNIVERSAL STUDIOS… HOLLYWOOD OOW asante sana mungu sante sana @Airtel Trace music star pia asante sans watu wangu wa zuri.Unajuwa nini usiache mtu yeyote akusimamishie ndoto zako kwa sababu nilikuwa na ndoto kwamba sikumoja ningependa kuwa UNIVERSAL STUDIOS. .HOLLYWOOD OOW siwezi hata kuelezea sana kwani ni zaidi ya furaha, ninachoweza sema ni kwamba ungana nami katika hii safari ili tu weze ku shea baadhi ya vitu nawapenda sana sante.😊.
mayunga 2
mayunga 2 (2)

Je Unataka Kujua?!!>>>Kuna chochote kati ya Future na Blac Chyna? Majibu yote yapo kwenye ‘Rich $ex’ – (Video)!....


Ni FurahiDay na rapper kutoka Freebandz, Future anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani kwa kuisogeza single nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya Dirty Sprite 2 (DS2).
Wimbo unaitwa ”Rich $ex” na video yake ipo hewani tayari lakini video queen kwenye hii ngoma mpya ni model na dancer, Blac Chyna staa ambaye wiki chache zilizopita aliweka headlines nyingi kwenye social media baada ya kuchora tattoo ya jina la rapper huyo mkonini mwake… ikasemekana ni wapenzi lakini Future akakanusha taarifa hizo!
chynafut2
Je ni kweli kuwa Future na Blac Chyna sio wapenzi? majibu yote yanaweza kupatikana kwenye video hiyo...