Tuesday, November 24

Soma Vichwa Vya Habari kubwa za Magazeti 14 ya Tanzania leo... November 24 2015 kwenye Udaku, michezo na hardnews.....

 
Leo November 24 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea Duniani...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Sunday, November 22

Algeria kumshitaki kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa...Hizi sababu zao....

November 17 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa pili wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi dhidi ya timu ya taifa ya Algeria mjini Blida katika uwanja wa Mustapha Tchaker, ikiwa ni siku tatu tu zimepita toka wacheze mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu michuano hiyo uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na kumalizika kwa sare ya goli 2-2.
Mchezo wa pili uliyochezwa mjini Blida ulimalizika kwa Algeria kuibuka na ushindi wa goli 7-0 ila kabla ya mchezo huo kuanza waalgeria wana mtuhumu Mkwasa kutoa kauli za kibaguzi, hivyo wamepanga kumshitaki kwa shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA kwa kusema wao ni wabaguzi wa rangi.

Full Kilichotokea....Burundi Vs Zanzibar Heroes CECAFA Challenge 2015 …

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup yameanza leo November 21 mjini Addis Ababa Ethiopia, ikiwa ni michezo miwili ilikuwa inatarajia kuchezwa leo November 21, timu ya Zanzibar Heroes dhidi ya timu ya taifa ya Burundi ndio zilikuwa timu za kwanza kufungua dimba kabla ya wenyeji Ethiopia watakaocheza dhidi ya Rwanda.
????????????????????????????????????
Burundi ambao walikuwa na nyota wao kadhaa akiwemo Didier Kavumbagu anayekipiga katika klabu ya Azam FC ya Tanzania walikuwa wakiutawala mchezo kwa wastani kumiliki mpira kwa asilimia 56 katika kipindi cha kwanza wakati Zanzibar walikuwa na asilimia 44 za umiliki wa mpira kwa dakika zote 45 za kwanza.
Ethiopia-cecafa-e1448110702168
Mchezo huo ambao Burundi walikuwa wakifika sana langoni kwa Zanzibar Heroes hadi wanaenda mapumziko walikuwa wanaongoza kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Didier Kavumbagu dakika ya 38. Licha ya kipindi cha pili Zanzibar kutafuta nafasi ya kusawazisha goli hilo haikuwezekana.

Kuna mita 200 nyingine....Uchaguzi mkuu leo Nov 22?? Upate Ukweli Uliopo....

Majimbo mawili ya Rushoto mkoani Tanga pamoja na lile la Ulanga mashariki mkoani Morogoro leo November 22  yatakuwa katika uchaguzi wa kuwachagua wabunge watakao wawakilisha kwenye bunge la 11 la jamuhuri ya muungano wa Tanzania , hii ni baada ya wagombea wa majimbo hayo kufariki kabla ya uchaguzi mkuu uliofanyika October 25.
Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC uchaguzi wa nafasi ya mbunge katika jimbo husika utalazimika kurudiwa endapo mmoja kati ya wagombea atafariki kabla ya uchaguzi kufanyika.sssssssssss copy
Hapa kaimu mkurugezi wa NEC Bw. Emmanuel Kawishe ametoa ratiba nzima na taratibu za kufuata kwa wapiga kura wote>>>
Vituo vitafunguliwa saa 1 kamili asubuhi na kufungwa saa 10 kamili za jioni, iwapo wakati wa kufunga kituo kukawa na watu waliokatika foleni na walifika kabla ya saa 10 watapata nafasi ya kupiga kura
Baada ya kupiga kura taratibu gani itafuata? Kalieleza na hili>>
Matokeo yote yakishapokelewa na msimamizi wa uchaguzi yatajumlishwa mbele ya mawakala na watu wote wanaoruhusiwa, baada ya kuhesabu kura fomu zitatiwa saini na mawakala watakaokuwepo.”

Rais Magufuli tena.. ni baada ya lile agizo kutoka kwenye hafla ya Wabunge....


Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya Wabunge wapya zipelekwe katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda na magodoro ya Wagonjwa wanaolala chini, limetekelezwa.
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema fedha hizo zimefanikisha kupatikana vitanda 300 vya wagonjwa pamoja na magodoro yake, shuka 600, baiskeli za kubebea Wagonjwa na vifaa vingine na kwamba hivyo vyote tayari vimepelekwa katika hospitali ya taifa Muhimbili.
vitanda
Balozi Sefue ameuagiza uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha vitanda vyote vimefungwa Jumapili ya November 22 2015 na kisha Rais mwenyewe atakwenda Hospitalini hapo Jumatatu ya November 23 2015 viwe vyote vimefungwa tayari vinatumiwa na wagonjwa waliokosa vitanda.
Wadau mbalimbali walichangia kiasi cha shilingi milioni mia mbili ishirini na tano (225) kwa ajili ya kugharamia hafla ya Wabunge baada ya uzinduzi wa bunge la kumi na moja Dodoma lakini Rais Magufuli aliagiza fedha hizo zitumiwe kwa kiasi kidogo kisichozidi shilingi milioni 15 na nyingine zipelekwe hospitali ya Muhimbili kutatua tatizo la uhaba wa vitanda.

Soma Vichwa Vya Habari... Toka Magazetini Tanzania November 22 2015 kwenye kurasa za mbele na za nyuma.....

Leo November 22 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea Mtanzania.....
DSC02594 DSC02595 DSC02596 DSC02597 DSC02598 DSC02599 DSC02600 DSC02601 DSC02602 DSC02603 DSC02604 DSC02605 DSC02606 DSC02607 DSC02608 DSC02609 DSC02610 DSC02611 DSC02612 DSC02613 DSC02614 DSC02615 DSC02616 DSC02617 DSC02618 DSC02620 DSC02621 DSC02622 DSC02623 DSC02625 DSC02626 DSC02627 DSC02628 DSC02629 DSC02630 DSC02631 DSC02632

UFISADI UPO KILA NCHI.....Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu........



Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
Bi Anne Waiguru, ambaye amekuwa Waziri wa Mipango na Ugatuzi, amewaambia wanahabari Nairobi kwamba ameshauriwa na daktari wake “achukue muda kupumzika”.
Amewaambia wanahabari kwamba amemwandikia Rais Kenyatta akimtaka amuondolee majukumu yake.
Wakenya wapigania waziri kwenye Twitter
Hata hivyo amesisitiza kwamba hana hatia.
“Ninafuata ushauri wa daktari na nimemuomba Rais aniondolee majukumu yangu kama waziri ... na akiona inafaa, anipe majukumu ambayo si mazito,” Bi Waiguru amesema.