Tuesday, October 13

BALOZI JUMA MWAPACHU ATANGAZA KUIHAMA CCM



Kuna stori ambayo imesambaa tayari kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja wa Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama chama hicho…

Friday, October 9

Ghasia:Mkutano wa kisiasa waahirishwa Guinea



Chama cha rais wa Guinea kimeahirisha mkutano wa kisiasa baada ya ghasia kuzuka katika mji mkuu Conakry.

Sunday, September 27

UKIACHANA NA MARLOW WA TANZANIA,HAWA NI BAADHI YA MASTAA WALIOKAA MUDA MREFU KATIKA MAHUSIANO.


Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na kuchangia mahusiano yao kuvunjika.

MARINA BAY: UWANJA WA MPIRA PEKEE ULIOJENGWA JUU YA MAJI? MAJUKWAA JE!! PICHAZ HAPA...




Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika SingaporeMarina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani sehemu ya kuchezea inaelea ila majukwaa yapo nchi kavu.

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPT 27.2015, KUBWA NI SIASA ZA CCM NA UKAWA,USHINDI WA YANGA HAPO JANA, NA KULETWA KWA MWILI WA WAZIRI CELINA KOMBANI


TAZAMA MAKABILA NA PICHA ZA KUPENDEZA ZA MAKABILI MBALI MBALI Y AKITANZANIAWA

WA MACHINGA

WA MACHINGA

UMESHAWAHI KUFIKIRI KUWA KUNA BENDERA NYINGINE ZILIZOWAHI KUONEKANA TANZANIA NA TANGANYIKA? NIMEKUWEKEA HAPA

UNAJUA KWAMBA MOURINHO HAJAWAHI KUTOKA NA POINTI 3 DHIDI YA NEWCASTLE KATIKA DIMBA LA ST. JAMES PARK TANGU MAY 2005 ? REKODI HII HAPA

NIMEKUWEKEA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI TANO BORA DUNIANI ZILIZOCHEZA JANA NA RATIBA YA LEO

Thursday, September 24

WAISLAMU WA MOROGORO WAICHARUKIA SIASA WASEMA MISIKITI SIYO SEHEMU YA KAMPENI




Katika kuadhimisha sikukuu ya Iddi el haji mkoa wa Morogoro viongozi wa dini ya kislamu wamesema misikiti sio mahala pa kampeni za kisiasa na hawapo tayari kuona nyumba za ibada zinatumika kama madaraja ya kuwavusha wanasiasa. 

ZIPO HAPA PICHA ZA TUKIO LA MAHUJAJI ZAIDI YA 700 WALIOFARIKI KWA KUKANYANGANA HUKO MECCA

 



Watu zaidi ya 717 waliokuwa wakishiriki sherehe za hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea karibu na mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.


WAJUE MARAIS WALIOONGOZA KWA MUDA MREFU BARANI AFRIKA, YUPO MSEVEN NA DOS SANTOS



Suala la iwapo marais wanafaa kuruhusiwa kuwania kwa muhula wa tatu katika nchi ambazo katiba inasema kiongozi anafaa kuwa mamlakani kwa mihula miwili pekee limechipuka tena huko Congo-Brazzaville.

Rais wa taifa hilo Denis Sassou Nguesso ametangaza kuwa taifa hilo litaanda kura ya maamuzi kuamua iwapo ataruhusiwa kuwania kwa muhula wa tatu.

Mjadala sawa unaendelea nchini Rwanda.

Lakini je, wajua ni viongozi gani wa sasa wameongoza mataifa yao kwa muda mrefu zaidi Afrika?

Hawa hapa:

•Miaka 36: Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Equatorial Guinea, alichukua madaraka kupitia mapinduzi ya serikali mwaka Agosti 1979

• Miaka 36: Jose Eduardo dos Santos - Angola, alichukua uongozi baada ya kifo cha rais wa kwanza wa taifa hilo Agostinho Neto Septemba 1979

Miaka 35: Robert Mugabe - Zimbabwe, alishinda uchaguzi wakati wa kujinyakulia uhuru kwa taifa hilo Aprili 1980

• Miaka 32: Paul Biya - Cameroon, alichukua uongozi baada ya kujiuzulu kwa rais wa kwanza wa nchi hiyo Ahmadou Ahidjo, Novemba 1982

• Miaka 30: Denis Sassou Nguesso - Congo, aliwekwa uongozini na jeshi mwezi Oktoba 1979 na akaongoza hadi mwezi Agosti 1992. Alirejea tena Oktoba 1997 na kuendelea hadi sasa.

Miaka 29: Yoweri Museveni - Uganda, alichukua uongozi rais baada ya kundi lake la waasi kuchukua madaraka mwezi Januari 1986
BOFYA HAPA CHINI UONE MAFURIKO YA HATARI YA MGOMBEA