Nyota
wa Manchester United Memphis Depay akiwasainia mashabiki wa timu hiyo
vitu mbalimbali ikiwemo mipira na jezi wakati wa ziara yao nchini
Canada katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi.
Meneja
wa Manchester United, Louis van Gaal amethibitisha kwamba bado
anahitaji kusajili wachezaji wawili majira haya ya kiangazi licha ya
ukweli kuwa ameshanasa saini ya wachezaji wanne mpaka sasa.
Kuna baadhi ya watu wanaamini Tattoo
ni moja kati ya njia za utunzaji kumbukumbu za matukio muhimu
mwilini..na wakati mwingine hata kupamba mwili kwa mchoro wowote
anaovutiwa nao mtu.