Friday, July 17

Chuck Norris huyu hapa full movie kazi kwako

UNAIKUMBUKA HII A WORRIORS JOURNEY YA BRUCE LEE? ITAZAME HAPA

HIZI HAPA TWEETS ZA MASHABIKI WA ARSENAL WAKI-REACT STORI YA GUNNERS KUMSAJILI STRAIKA HUYU....

Mashabiki wa Arsenal wameamka asubuhi ya leo na kukutana na stori ambayo inaihusisha klabu yao kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Karimu Benzema.

MSIKIE PLUIJM WA YANGA ANAVYOINGIA KESHO UWANJANI DHIDI YA GOR MAHIA KOMBE LA KAGAME

Kocha wa Yanga SC Hans van der Pluijm (kulia) akiwa na kocha wa Gor Mahia Frank Nuttal (kulia) walipozungumza na Waandishi wa Habari mchana huu

TAZAMA VIDEO YA JAMES MILNER AKIFUNGA GOLI LA KWANZA LIVERPOOL IKIFANYA MAANGAMIZI LEO....

TANZIA: MSANII MKUBWA WA MUZIKI WA BENDI AFARIKI DUNIA...


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama 'Banza stone' amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.
R.I.P Banza Stone

VIDEO::HIVI NDIVYO BAYERN WALIVYOPOKELEWA BEIJING LEO

UNADHANI BONGO KUNA PRO ANAWEZA KUPOKELEWA NAMNA HII KAMA MAPOKEZI YA DEPAY

Nyota wa Manchester United Memphis Depay akiwasainia mashabiki wa timu hiyo vitu mbalimbali  ikiwemo mipira na jezi wakati wa ziara yao nchini Canada katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi.

VAN GAAL ASEMA HAYA KUHUSU USAJILI.

Meneja wa Manchester United,  Louis van Gaal amethibitisha kwamba bado anahitaji kusajili wachezaji wawili majira haya ya kiangazi licha ya ukweli kuwa ameshanasa saini ya wachezaji wanne mpaka sasa.

SINA UHAKIKA KAMA HUYU ANAWEZA KURITHI VIATU VYA IKER CASILLAS

Real Madrid wamethibitisha kumsajili Golikipa wa Espanyol,  Kiko Casilla.

MRUNDI HUYU AME-COMMENT HIVI KUHUSU KOCHA WA AZAM

Stewart Hall (kulia) 

MESSI AMECHORA TATOO ZA AINA MBALIMBALI IKIWEMO YA YESU, UNATAKA KUJUA MAANA YA ZILIZOBAKI NA TATTOO ZA MASTAR WENGINE WENYE TATOO? FUNGUA HAPA SASA

messi-jesus-tat
Kuna baadhi ya watu wanaamini Tattoo ni moja kati ya njia za utunzaji kumbukumbu za matukio muhimu mwilini..na wakati mwingine hata kupamba mwili kwa mchoro  wowote anaovutiwa nao mtu.

unajua chadema wamejipangaje ubunge na udiwani mwaka huu?

CHADEMA-LOGO

AJALI YA KILIMANJARO ILIKUWA HIVI,TAZAMA KATIKA PICHA JINSI WATU WANNE WALIVYOPOTEZA MAISHA

>>Ni ajali ya fuso kuigonga hiace 

>>majeruhi 11 wakimbizwa hospitali mawenzi, 

>>watatu ni mahututi

Gari aina ya Hiace iliyogongwa kwa nyumba na Fuso na kuuwa watu huko Moshi

UNADHANI KUMUITA OBAMA NYANI ATAACHE HIVI HIVI? PIA HUU NI UBAGUZI WA RANGI.

Barack-Obama
Rais Barrack Obama